Neno la Karibu Kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu

Karibu na asante kwa kutumia muda wako kutembelea tovuti yetu ya Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA). Nimefarijika kufahamu kwamba watu wengi wanapenda kufahamu kwa kina kuhusu Mfumo wa Utambuzi na Usajili wa Watu na mchango wake katika kukuza uchumi, amani na usalama, na maendeleo ya ustawi wa jamii Tanzania.

Soma Zaidi