Dira na Dhima
Dira
Kuwa chombo chenye wajibu wa kutoa huduma za Utambuzi ambazo zinatambulika Kitaifa na Kimataifa.
Dhima
Kutoa Vitambulisho kwa Watanzania na Wageni Wakaazi wa Tanzania na Kutunza Daftari la Utambuzi kwa lengo la kuimarisha usalama na Amani kiuchumi na kijamii kwa maendeleo ya Taifa.
Maadili Yetu
Kutoa huduma bora kwa wateja
Kufanya kazi kwa bidii na nidhamu
Kufanya kazi kwa umoja
Kuthamini Mchango wa watumishi

