Fahamu Huduma Zetu
Usajili wa Raia wa Tanzania
Zipo njia mbili za kuweza kutumiwa na Mwombaji Kujisajili:- 1) Usajili kwa njia ya Mtandao. 2) Usajili kwa njia ya kawaida.
Usajili wa Mgeni Mkaazi
Wageni Wakaazi wenye umri wa miaka 18 na zaidi wanaoishi nchini Tanzania kulingana na hati ya ukaazi wanaarifiwa kujitokeza Kusajiliwa kwa mujibu wa sheria ya Usajili na Utambuzi wa watu kwenye ofisi ya
Usajili wa Diaspora
Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa imefanikiwa kuanza utaratibu wa kusajili Watanzania wanaoishi nje ya nchi ambapo kwa kuanzia Mamlaka iliendesha zoezi la Usajili wa Diaspora waishio Marekani
Matumizi ya Kitambulisho cha Taifa
unaweza kutumia Namba yako ya Utambulisho wa Taifa (NIN)/Kitambulisho cha Taifa (NID) kupata huduma nyingi za kijamii, kiuchumi na kiusalama katika maeneo mbalimbali:-
Marekebisho ya Taarifa za Usajili
Mambo ya msingi ambayo mwananchi anapaswa kuyazingatia ili aweze kurekebishiwa taarifa za usajili kama: 1. Majina 2. Tarehe na mwezi wa kuzaliwa
Jinsi ya Kuhuisha Kitambulisho cha Taifa
Kuna hatua mbalimbali zinazotakiwa kufuatwa na mwombaji aliyepoteza Kitambulisho cha Taifa ili kupatiwa kingine na kuna gharama kidogo mwombaji atatakiwa kuchangia:-
Barua Pepe
info@nida.go.tz
0232210500
Jumatatu - Ijumaa
01:30 asubuhi - 09:30 alasiri
Huduma Mtandao
Jisajili Kimtandao
Fanya usajili wa awali kwa njia ya mtandaoni ili kuokoa muda.Huduma hii ni kwa ajili ya Raia na Mgeni Mkaazi.
Fahamu NIN
Huduma hii inakuwezasha kufahamu namba yako ya utambulisho wa Taifa(NIN) kwa kujaza fomu fupi ya taarifa zako na kuwasilisha..
Fuatilia Ombi
Huduma hii inamuwezesha muombaji wa Kitambulisho cha Taifa kujua hali ya maombi yake.Pia kupata taarifa iwapo kuna hatua zozote za kufuata kwa maombi yaliyokwama.
Malipo Kimtandao
Huduma hii inakuwezesha kujihudumia kwa kutengeneza kumbukumbu namba ya malipo ya serikali kwa huduma ya waliopoteza kitambulisho na kwa maombi ya usajili kwa wageni wakaazi.
Huduma kwa Wadau
Huduma hii ni mahususi kwa wadau wetu kwa ajili ya kufanya uhakiki wa wateja wao na kuhakiki miamala.
Mdau Mpya
Huduma hii inakuwezesha kujisajili kuwa mdau wa NIDA ili upate huduma za ushirikishanaji taarifa.